Tarehe 26.2.2017Somo: Kuishi maisha ya ushindi
Efeso 6: 12Adui yetu anajua uzuri wa Mbinguni hivyo anashindana nasi ili tusiende mbinguni. Shetani hushambulia maisha ya mwamini kama tunavyosoma Ayubu 1: 6 - 12
Kwa hiyo ndugu maliza maishi ya ushindi kwa kufanya yafuatayo:-
- Kuwa msomaji wa Neno la Mungu
- Kuwa mwombaji (Yoshua 10: 12)
- Kuwa na imani thabiti
- Kuwa na moyo wa sifa
- Kuwa na shukrani
- Kuwa na roho ya kusamehe