Tarehe 19.2.2017
Somo: Hitaji langu baada ya kuokoka:
Yafuatayo ni mahitaji ya lazima baada ya mtu kuokoka
- Ujae Roho Mtakatifu
- Ubatizo wa maji mengi
- Kudumu katika mafundisho ya Neno la Mungu (1Petro 2:2)
- Ushirika wa Meza ya Bwana (1Kor 11: 23 - 26)
- Ushirka na wengine waliookoka
Maadui wa mtu aliyeokoka
- Ulimwengu/Dunia (1Yohana 2: 16 - 17)
- Mwili (Rumi 8: 1 - 13, Galatia 5: 13 - 17, Yak 4: 1 - 10)
- Nafsi (Mwa 6: 1 - 6)
- Mazingira (Mwa 34: 11 - 12)
Wajibu wa mtu aliyeokoka
- Kuishi maisha Matakatifu
- Kumtafuta Roho Mtakatifu
- Kumcha Mungu katika Roho kwa viwango vya juu
- Kumjua Mungu wa Biblia
- Kumjua Yesu
- Kuwa mwakili wa siri za mbinguni
- Kuwa na chumvi za dunia
- Kuwa nuru ya Ulimwengu
- Kuwa taa ya Ulimwengu
- Kuwa barua
- Kuwa mhubiri wa Injili
- Kuwa mwombaji
- Kuwa msafiri wa kwenda mbinguni
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni