MHUBIRI: MCHUNGAJI MARY MNEO
UJUMBE: Mungu husimama na mwenye haki
![]() |
Mchungaji Mary Mneo akihubiri |
- Mtazamo wa wana wa Mungu haukuwa kama Mungu alivyokusudia.
- Mungu anaweka hisia zake wazi juu ya kutoshindana na mwanadamu
- Mungu anayaona mawazo ya mwanadamu kuwa ni mabaya siku zote.
- Nuhu anapata neema machoni pa Mungu.
Kilichomfanya Nuhu kupata neema machoni pa Mungu katika dunia iliyojaa dhuluma ni kutembea pamoja na Mungu.
Hitimisho: Hata sasa mtu wa Mungu fanya maamuzi ya kutembea pamoja na Mungu. Haijalishi tupo kwenye dunia ya namna gani bado tunaweza kupata neema machoni pa Mungu kama ilivyokuwa kwa Nuhu.
IBADA YA KUWAWEKA WATOTO WAKFU KWA MUNGU
![]() |
Mchungaji na wazazi wenye watoto wa kuwekwa wakfu kwa Mungu |
![]() |
Mchungaji akipoke mtoto kutoka kwa mzazi |
![]() |
Mchungaji Kiongozi akiombea mtoto |
Hizi ni baadhi ya picha katika matukio ya ibada ya kuwaweka watoto wkfu kwa Mungu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni