Tarehe 5.3.2017
KILELE CHA JUMA LA WWK
MHUBIRI: M/KITI NDG FRIDA KWEKA
![]() |
Mwenyekiti WWK akitoa ujumbe |
UJUMBE: JE WATAKA KUPONA?
Ebr 2:3, Yoh 5:24, Fil 3:7 - 8 na Yuda 1:3
Ili tuweze kupona hatuna budi kufanya yafuatayo
- Kufanya mambo ya Mungu kwanza halafu yetu baadaye.
- Kuvaa silaha za Mungu. (Efe 6: 10 - 18).
- Kujitambua
MATUKIO KATIKA PICHA
![]() |
Viongozi wa WWK wakiwa mbele ya Madhabahu |
![]() |
WWK wakiimba wimbo wao |
![]() |
Hawa ni WWK wakiongoza Ibada ya sifa na kuabudu |
![]() |
Mchungaji na Mama Mchungaji |
![]() |
Familia ya Mchungaji |
![]() |
Mchungaji na mama Mchungaji wakipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa WWK |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni