IBAADA YA MEZA YA BWANA TAREHE 26.03.217
Ibaada hii imefanywa na Mchungaji Kiongozi P. Mneo
Maandiko 1Kor 11: 24 - 32
Matukio katika picha.
![]() |
Mchungaji Kiongozi akitoa ujumbe wa Meza ya Bwana |
![]() |
Mchungaji Mary Mneo akiombea mkate |
![]() |
Mzee wa kanisa ndg Frida Kweka akiombea divai |
![]() |
Viongozi wakiwa tayari kuhudumu meza ya Bwana |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni